Luxury Watch Case (12 Slots) Hifadhi na linda saa zako kwa umaridadi na usalama! Watch case hii ya hali ya juu ina nafasi 12, iliyotengenezwa kwa material imara na premium finish. Ndani imewekwa kifaa cha velvet laini kinacholinda saa zako dhidi ya mikwaruzo. Ni chaguo bora kwa wapenzi wa saa au zawadi ya kipekee. ✅ Inabeba saa 12 ✅ Muonekano wa kifahari na ...
SUPER GRO ni 100% mbolea ya organic na isiyokuwa na kemikali. FAIDA: -Inazuia mimea kuungua na jua(ukame) -inazuia ukungu -inaongeza kiwango cha Nitrogen (75%) -inaongeza wingi wa mazao na uzito -inasaidia viwatifu kufanya kazi(100%) -kuongeza kiwango cha upenyaji maji kwenye udongo MATUMIZI: Changanya super gro na maji katika ratio ya 1:1000, nilimaanisha 1...