Ina uwezo wa kutoa tofali nne kwa wakati mmoja na pavings. Inatumia motor 3 za vibration zenye 2.2kw kila moja. Inakuja na toroli 2 za kubebea tofali, tool box na control box. Tunatoa free installation na training. Ina uwezo wa kufanya kazi 24/7 kwa shift. Warrant ni 6 months kwenye motors.
1) Nyumba ipo Tunguu viwanja vya plan. 2) Ni nyumba nzuri haijachakaa ya kuhamia moja kwa moja. 3) Ina vyumba vitatu: viwili ni master. 4) Ina ukuta na electric fence. unaweza kupaki gari tatu ndani ya fence. 5) Nyuma ya nyumba ina nafasi ya kutosha, unaweza kujenga vyumba vya ziada viwili. 6) Kuna kisima na Tenki ya maji. 7) Jiko, public toilet, dining, sto...