Nauza shamba la Umwagiliaji shamba hilo lipo Kiwangwa Bagamoyo linaukubwa wa hekari 30 kila eka moja inauzwa 1.5M shamba lipo umbali wa kilometa 14. Kutoka barabara kuu ya lami
Read more
Description
Nauza shamba la Umwagiliaji shamba hilo lipo Kiwangwa Bagamoyo linaukubwa wa hekari 30 kila eka moja inauzwa 1.5M shamba lipo umbali wa kilometa 14. Kutoka barabara kuu ya lami
Luxury Watch Case (12 Slots) Hifadhi na linda saa zako kwa umaridadi na usalama! Watch case hii ya hali ya juu ina nafasi 12, iliyotengenezwa kwa material imara na premium finish. Ndani imewekwa kifaa cha velvet laini kinacholinda saa zako dhidi ya mikwaruzo. Ni chaguo bora kwa wapenzi wa saa au zawadi ya kipekee. ✅ Inabeba saa 12 ✅ Muonekano wa kifahari na ...
Ndawa traders ni wauuzaji wa vifaa bora vya ujenzi kama bati aina zote, mbao, nondo, gypsum boards pia tunatoa ushauri bure wa ujenzi.Tunapatikana buguruni chama.
Mashamba mazuri ardhi nzuri yenye rutuba inakubali mazao yote zipo heka 300(300acres) Kila heka ni shilingi laki sita(600000) Yapo bagamoyo kiwangwa Kutoka barabarani Hadi shamba lilipo ni kilometer sita
Beach Plort for sale Mikocheni Pangani Tanga eneo hili lina hati miliki linaukubwa wa eka 53 jumla lakini unauziwa kulingana na ukubwa unao uitaji ata ukitaji eka 10 pia linakatwa linauzwa kwa kila eka moja ni 25.M mazungumzo yapo kwa mawasiliano zaidi piga. 0659628665/=