Gift set nzuri sana kwa ajili ya watu wa maofisini.
Inaweza kuwa ni wafanyakazi wako, wawekezaji wako, marafiki au wewe binafsi.
Set ina;
Flask yenye Temperature Lid (500mls) inatunza joto/baridi.
Mouse
Pen
Flash
Powerbank
Vyote vinaandikwa ujumbe/Logo unayotaka.
Set zipo za rangi nyeusi, gold na blue.