Giftery Shop tz

Giftery Shop tz Giftery Shop tz
Specializes in Mauzo ya Jumla
Dar es Salaam , Kinondoni, Dar es Salaam, Tanzania
10 active listings
Personal seller
Alikuwa online 6 hours ago
Registered for Today
About seller
We are dealing with Customized Gifts, Branding and promotional materials, Cooperates gifts, Plaques & Trophies.
We wrap gifts too

Bidhaa Mpya

Giftery Shop tz Giftery Shop tz Today 02:29
Office Gift Set
TZS 100,000
Office Gift Set
Dar es Salaam
Gift set nzuri sana kwa ajili ya watu wa maofisini. Inaweza kuwa ni wafanyakazi wako, wawekezaji wako, marafiki au wewe binafsi. Set ina; Flask yenye Temperature Lid (500mls) inatunza joto/baridi. Mouse Pen Flash Powerbank Vyote vinaandikwa ujumbe/Logo unayotaka. Set zipo za rangi nyeusi, gold na blue.
New Mauzo ya Jumla
TZS 100,000
Giftery Shop tz Giftery Shop tz Today 02:25
Executive Trophy
TZS 250,000
Executive Trophy
Dar es Salaam
Inaandikwa maneno unayotaka.
New Mauzo ya Jumla
TZS 250,000
Giftery Shop tz Giftery Shop tz Today 02:12
Branded Flask 500mls
TZS 35,000
Branded Flask 500mls
Dar es Salaam
Flask zenye ujazo wa mls 500 Zinatunza joto/baridi la kinywaji kwa masaa 8+ Zipo za rangi tofauti tofauti.. Black, Pink, Blue, White, Grey n.k Zinafaa kuandika maneno/ujumbe/Logo utakayo. Nzuri kwa kumzawadia mtu au matumizi binafsi.
Mauzo ya Jumla
TZS 35,000
Giftery Shop tz Giftery Shop tz Today 02:08
Executive Bamboo Gift Set
TZS 150,000
Executive Bamboo Gift Set
Dar es Salaam
Gift set ina bamboo items zifuatazo; Flask yenye kutunza joto/baridi 8+hours (500mls) Notebook Keyholder Flash GB 16 Pen PowerBank/CardHolder. Vyote vinaandikwa maneno utakayo/Logo. Vinafaa kumpa mtu zawadi au matumizi binafsi.
New Mauzo ya Jumla
TZS 150,000
Giftery Shop tz Giftery Shop tz Today 02:03
Bamboo Flask Disk
TZS 30,000
Bamboo Flask Disk
Dar es Salaam
Bamboo Flash Disk yenye GB 16 Inakuwa Customized Logo/maneno/Jina unalotaka. Inafaa kutoa zawadi kwa wafanyakazi wako, wanakamati, marafiki n.k Inakuja na Box chake cha kuhifadhia.
New Mauzo ya Jumla
TZS 30,000
Giftery Shop tz Giftery Shop tz Today 02:00
Bamboo Office Gift Set
TZS 165,000
Bamboo Office Gift Set
Dar es Salaam
Gift set yenye Bamboo Flask (mls 500) inatunza joto/baridi 8+hours Bamboo Mini Speaker with charger Bamboo Pen Bamboo Flash Disk (GB 16) Bamboo Power Bank (5000MAh)
New Mauzo ya Jumla
TZS 165,000
Giftery Shop tz Giftery Shop tz Today 01:54
Wooden Clock Table Frame
TZS 60,000
Wooden Clock Table Frame
Dar es Salaam
Decoration nzuri sana kumpatia mtu zawadi. Ni wooden Frame yenye saa pembeni. Inafaa kuweka maneno mazuri utakayo/Logo (Branding) Inafaa kukaa Ofisini au nyumbani. Inafaa kuwa zawadi au Binafsi. Material ni Mbao.
New Mauzo ya Jumla
TZS 60,000
Giftery Shop tz Giftery Shop tz Today 01:49
Gift Set with bamboo texture
TZS 85,000
Gift Set with bamboo texture
Dar es Salaam
Hii Gift Set ina Flask (mls 500) inatunza joto/baridi 8+hrs Notebook Size A5 Keyholder Pen Unapata na Box lake. Vyote vinaandikwa maneno/ujumbe unaotaka au Logo (branding)
New Mauzo ya Jumla
TZS 85,000
Giftery Shop tz Giftery Shop tz Today 01:43
Spoon Mug With Bamboo Lid
TZS 30,000
Spoon Mug With Bamboo Lid
Dar es Salaam
Spoon Mug nzuri yenye mfuniko wa mbao. Nzuri sana kuandika maneno machache, inaweza kuwa ujumbe/Logo (branding) Inakuwa na mfuniko wake na Box lake la kuhifadhia kama zawadi.
New Huduma Nyingine
TZS 30,000
Giftery Shop tz Giftery Shop tz Today 01:35
Mini Bamboo Gift Set
Check with seller
Mini Bamboo Gift Set
Dar es Salaam
Mini Bamboo Gift Set Bamboo Flask with Temp Lid (500mls) Bamboo Pen Bamboo Keyholder. Zote zinafaa kuandikwa maneno utakayo (branding)
New Mauzo ya Jumla
Check with seller
  • 1
Are you a professional seller? Create an account