Kifaa hiki huwezesha cctv camera zako ziendelee ku rekodi matukio hata kama umeme umekatika. Umeme ukikatika automatically kifaa hiki kitajiwasha na hata umeme ukirudi basi automatically kifaa hiki kitajizima ili umeme uendelee kufanya kazi.
Ndawa traders ni wauuzaji wa vifaa bora vya ujenzi kama bati aina zote, mbao, nondo, gypsum boards pia tunatoa ushauri bure wa ujenzi.Tunapatikana buguruni chama.