Unatafuta njia salama na ya haraka kuhifadhi mafaili yako? Nauza *External Hard Drive Toshiba 1TB* – kasi ya USB 3.1! ✔️ Speed ya kuhamisha data ni kubwa (Fast Transfer) ✔️ Ina nafasi kubwa – hifadhi video, picha, documents, na muziki bila wasiwasi ✔️ Imara na ndogo – unaweza kuibeba popote ✔️ Inafanya kazi kwa laptop na desktop (Windows & Mac) *BEI POA ...
Nauza vifaa vyangu vya studio vilivyopo pichani kasoro laptop na hiyo Meza na kiti vilivyobaki vyote vipo kwenye package hata hilo carpet lipo ndani ya package kubwa wake ni futi 17×12,maongezi yapo kidogo package ina vitu vingi vizuri ukafika kuona boss, vifaa unaruhusiwa kutest kama tutakuwa serious kununua