NINAUZA KIWANJA CHANGU, KINAUKUBWA WA METER 66 KWA 50 LIPO SIFA ZIFUATAZO;
1. LIKO KARIBU NA BARABARA YA LAMI IENDAYO CHANIKA UKITOKEA MBAGALA
2. KUNA MAJI
3. UMEME UPO
4. ENEO TAYARI LIMESHAJENGWA MSINGI WA VYUMBA VINNE NA CHOO
5. ENEO NI LAKWANGU MWENYEWE HAKUNA DALALI/UDALALI
6.NI ENEO ZURI SANA KARIBUNI KWA BIASHARA, NARUHUSU MALIPO HADI KWA AWAMU MBILI, KARIBU FIKA SITE UJIONEE MWENYEWE