Nauza shamba Kiwangwa Bagamoyo lenye ukubwa wa heka 25 lipo umbali wa kilometa 1 tu kutoka barabara kuu ya lami kila heka moja inauzwa 1.8M milion moja na laki nane kwamawasiliano zaidi piga no.0659628665/=0625929692/=
Read more
Description

Luxury Watch Case (12 Slots) Hifadhi na linda saa zako kwa umaridadi na usalama! Watch case hii ya hali ya juu ina nafasi 12, iliyotengenezwa kwa material imara na premium finish. Ndani imewekwa kifaa cha velvet laini kinacholinda saa zako dhidi ya mikwaruzo. Ni chaguo bora kwa wapenzi wa saa au zawadi ya kipekee. ✅ Inabeba saa 12 ✅ Muonekano wa kifahari na ...
Gharama inaanzia 110,000 mpaka 400,000 Unapata Dakika, sms, Unlimited Internet kwa mwezi mzima, na unapata 10 gb kwa watu wako kuanzia 1 - 14 kutokana na kifurushi utakachoweka. Usikose hii fursa.
Mashine ya kuchanganya chakula cha kuku ipo katika hali nzuri sana, Bei ni Tsh 6,000,000/- tu. Ina uwezo wa kuzalisha chakula cha kuku nusu tani kwa saa. Na utapata kila kitu na motor pia. Karibu sana mteja.
Nauza shamba lenye ukubwa wa eka 30 lipo umbali wa kilometa 1 kutoka barabara kuu ya lami shamba linafikika muda wowote bei kwa kila eka moja ni 1700,000/= kwa mawasiliano zaid Pga..no. 0659628665//