Kirutubisho bora sana cha mimea na udongo.
Huleta mavuno mengi shambani, husaidia udongo kuhifadhi maji muda mrefu, ukijani kwa muda mrefu, matunda na mazao makubwa na bora, huokoa gharama na matumizi makubwa ya mbolea na viwatilifu shambani.. Jipatie super gro kwa bei ya ofa.