Luxury Watch Case (12 Slots) Hifadhi na linda saa zako kwa umaridadi na usalama! Watch case hii ya hali ya juu ina nafasi 12, iliyotengenezwa kwa material imara na premium finish. Ndani imewekwa kifaa cha velvet laini kinacholinda saa zako dhidi ya mikwaruzo. Ni chaguo bora kwa wapenzi wa saa au zawadi ya kipekee. ✅ Inabeba saa 12 ✅ Muonekano wa kifahari na ...
Nauza shamba lenye ukubwa wa heka 50 lipo umbali wa kilometa 4 kutoka barabara kuu ya lami kila eka moja inauzwa laki 700,000/= kwa mawasiliano zaidi Piga no.0659628665/=
Nauza shamba la eka 300 Mbwewe Shamba la eka 300 linauzwa kwakila eka 1 laki 250,000/= shamba linaumbali wa kilometa 3 kutoka barabara kuu ya lami Shamba hili lipo kata ya Mbwewe kijiji cha Kwang'andu wilaya ya bagamoyo Kwa mawasiliano zaidi piga no.. 0659628665/= + 0625929692/=
Nauza shamba la umwagiliaji hekari 50 shamba lipo kijiji cha Wami Mkoko kata ya Msata lipo umbali wa kilometa 15 kutoka lami mpaka shamba Gar linafika mpaka Shamba bei kwa kila Eka moja ni 1.2M milion moja na laki mbili