Explore Everything for sale in Dar es Salaam. Find great deals on different products including electronics, furniture, vehicles & more from verified sellers on Zoom Tanzania.
Baridi yabisi ni mkusanyiko wa maradhi yanayotesa watu wengi katika siku za hivi karibuni maradhi haya ni makali kiasi kwamba humtesa mtu na kumfanya kuwa mlemavu na hata kupelekea kifo wakati mwingine NINI HUSABABISA MARADHI HAYA Ni huwepo wa sumu nyingi za tindikali mbaya katika mwili uric acidi wakati mwingine ni maambukizi ya bacteria virusi na matatizo ...