3 beautiful pure bred German Sheperds (2males, 1 female), veeery active, price per each (negotiable). 1.5 month old, after 1st vaccination. 2.1 years old father on site - bought him 2 years ago from certain embassy in Dar as puppy, 1.9 years old mother in Kigamboni. For the whole lot (father, mother) check the videos - youtube.com/playlist?list=PL_p7hwa0vzr0...
Mayai ya kienyeji yaliyotokana na kuku waliotunzwa kwa njia asilia, bila kutumia madawa ya kisasa. Yamejaa virutubisho vya asili, na yana kiini chenye rangi ya dhahabu, ishara ya afya bora. Yanapikwa haraka, yana ladha tamu, na ni chaguo bora kwa familia inayojali lishe
Watoto wa Nguruwe wa Kisasa wa Mbegu Wanapatikana Hapa Kila Siku, Kila Week, Kila Mwezi na Kila Mwaka. Bei za Watoto wa Nguruwe wa Kisasa wa Mbegu ni Kuanzia Tshs 200,000/= nakuendelea! Wakiwa na Umri wa Mwezi mmoja tu au Umri wa Mwezi mmoja na week kadhaa nakuendelea . . . +255716576827 +255684789971 +255743194444 Mapinduzi ya Ufugaji wa Nguruwe Tanzania Ta...
Shamba linauzwa lenye ukubwa wa heka 50 lipo umbali wa kilometa 1 kutoka barabara kuu ya lami eneo zuri sana linafaa kwa uwekezaji makazi kilimo ufugaji na nk kwa maelezo zaidi piga 0659628665 shamba bei ni milion mbili kwa heka moja.