Tunatengeneza mabanda ya kisasa na fanicha kwa kutumia pallets. Banda la mlinzi, ofisi ndogo, vibanda vya biashara na mabanda ya kufugia – vyote kwa bei nafuu! Ubora, ubunifu na uaminifu. Tunapatikana Dar es Salaam – tunatengeneza na tunasafirisha. Karibu sana!
Mawasiliano 0688275813 whatsapp
Email:
[email protected]