Faida za Choleduz (omega 3)
????Husaidia kuimarisha uwezo wa macho kuona
????Husaidia kuimarisha mifupa na kuongeza uteute kwenye joint .
????Husaidia kuondoa mafuta mabaya mwilini(bad cholesterol).
????Husaidia kuimarisha Afya ya ubongo na kurudisha kumbukumbu (kwa watoto na watu wazima).
????Husaidia katika Afya ya uzazi kwa wanawake,husaidia ukuaji wa mimba na mtoto tumboni.
????Husaidia kuondokana na tatizo la mimba kuharibika na kujifunga kabla ya wakati(miscarriage).
????Husaidia kuimarisha Afya ya ngozi.
????Husaidia wenye matatizo ya moyo na Presha.
Matumizi ya mafuta ya samaki hayana mipaka katika kundi au umri wa mtumiaji, watu wa rika zote kulingana na mahitaji ya kiafya wanashauriwa kutumia mafuta ya samaki ili kuweza kuimarisha afya zao.
Kwa tiba na ushauri call or Whatsapp 0689845780
#choleduz #choleduztanzania
Read more