Dawa hii nzuri sana kwa wanawake wenye changamoto ya kukosa hisia wakati wa tendo, period yake inakuwa haieleweki haipo kwneye mzunguko unaeleweka, mayai hayapevuki nabkupelekea ushindwe kupata ujauzito.
Hizo zote ni dawa za asili ambazo zinamsaidia mwanamke mwenye changamoto ya uzazi, mimba kuharibika, PID pamoja na kuyeyusha uvimbe Refined yuhnzi imetengenezwa na viambata vyenye virutubisho vinavyotoka katika uyoga wa yuhnzi unaojulikana pia kama Turkey Tail( Coriolus versicolor) kirutubishi hiki ni muhimu kinasaidia sana kwneye mfumo wa uzazi wa mwanamke ...