Nyumba nzuri inauzwa Iko Mtaa wa Amani. mpiji Magie kituo Cha Daladala kinaitwa Machimbo Ina vyumba 3 Kwa ndani 1 Master viwili kawaida. jiko, Dinning na Sitting room na Public Toilet Nje Ina vitu vifuatavyo Vyumba vya kulala 2 Chumba 1 cha ofisi Frame 1 ya biashara Parking ya kutosha magari zaidi ya 5 Mabanda ya kufugia kuku zaidi ya 1000
Next Level Racing GT Lite Foldable Simulator Cockpit. This product is a racing cockpit designed for sim racing enthusiasts with limited space. Price : 1.35million Tshs Call / Whatsapp : 0627774377
Nauza mini washing machine kilo 4.5 Inafua nguo aina zote adi viatu Pia inakausha nguo Inatumia umeme mdogo Na ni rahisi kutumia kwa mtu yoyote Bei yake ni 150,000 Delivery ipo unalipia mzigo ukikufikia
Gift set yenye Bamboo Flask (mls 500) inatunza joto/baridi 8+hours Bamboo Mini Speaker with charger Bamboo Pen Bamboo Flash Disk (GB 16) Bamboo Power Bank (5000MAh)