Saratani ya matiti ni mabadiliko ya chembechembe hai zilizopo kwenye matiti Saratani hii kwa kawaida haina dalili katika hatua za kwanza hivyo unashauriwa kufanya uchunguzi wa Saratani mara kwa mara
Read more
Description
Saratani ya matiti ni mabadiliko ya chembechembe hai zilizopo kwenye matiti Saratani hii kwa kawaida haina dalili katika hatua za kwanza hivyo unashauriwa kufanya uchunguzi wa Saratani mara kwa mara
Presha(Shinikizo la Damu) ni msukumo wa damu kwenye vishipa vya damu, msukumo huo huzalishwa baada ya moyo kusukuma damu kwenye sehemu mbalimbali za mwili. Aina za Presha. Zipo aina kuu mbili za presha, yaani; (I) PRESHA YA KUPANDA (II) PRESHA YA KUSHUKA. PRESHA YA KUPANDA. Presha ya kupanda ni msukumo wa damu unaosukumwa na moyo kwenda kwenye vishipa vya da...
Kutambua na kutibu hali yoyote hiliyosababisha kufeli kwa figo ndio hatua muhimu sana ya kukabiliana na ugonjwa huu.matibabu huakikisha kuwa madhara zaidi hayafanyiki na hivyo kuzipa nafasi figo kupona DALILI ZA UGONJWA WA FIGO dalili za ugonjwa huu ni pamoja kushindwa kupumua,maumivu kwenye kifua,kutapika damu,mapigo ya moyo yasiyo ya kawaida,kukosa hamu ya...
Homa ya hini (hepatitis) ni uvimbe wa ini hunaousishwa na seli kuvimba kiini katika tishu ya ini.hali hii inaweza kujiponyesha au kuendelea kuwa fibrosisi(kovu)na ugonjwa sugu wa ini.homa ya ini inaweza kujitokeza kwa kiasi au kutokuwa na dalili yoyote lakini mara nyingi huleta homa,kukosa hamu ya kula na kunyong'onyea kwa mwili.homa ya ini ni kali wakati in...
Chanzo cha tatizo hili huanzia kwenye figo.figo huenda zikawa zinatengeneza mkojo mwingi zaidi ya kiwango kinachoitajika.homoni ADH huambia figo kutengeneza mkojo mchache kiwango cha kawaida na Mara nyingi homoni hiyo hupungua nyakati za usiku.wakati unapotokwa na mkojo kitandani huenda homoni za ADH zimepungua ama figo hazifanyi kazi kama inavyostaili Kiwan...
Kichomi hutokea mapafu yanapovimba kwa sababu ya maambukizi Kama nimonia au kifua kikuu.mara nyingi tatizo hili ni ishara ya kuwepo maambukizi ya virusi kwenye mapafu.pia maumivu kichomi yanaweza kusababishwa na 1)Magonjwa yanayosababishwa na asbesiti 2)Saratani fulani 3)Jeraha au kuumia kifuani 4)Magonjwa ya baridi yabisi
Dawa ya asili yenye mchanganyiko wa dawa kubwa zenye uwezo wa kutibu magonjwa yanayousu magonjwa ya uzazi kwa mwanamke 1)Hedhi zisizo na mpangilio 2)Maumivu ya wakati wa hedhi 3)Kuondoa uvimbe kwenye kizazi 4)Kusafisha mirija ya uzazi 5)Kurejesha hamu ya tendo ndoa 6)Kubalance hormon
Mtu kuhisi ganzi maumivu au kuwaka Moto maeneo ya miguuni,mikononi kuhisi kama humevaa soksi au gloves wakati hujavaa ,kuhisi kama kuna kitu cha ncha kali kinakuchoma miguuni au kwenye vidole,kushindwa kushika au kunyanyua kitu,kuchoka kwa misuli nk
UKOMBOZI ni dawa ya asili mujarrabu kwa kutibu magonjwa mbalimbali kama vile 1)Kutoa uchafu tumboni unaosababisha maradhi 2)Kutoa sumu zitokanazo na madawa ya kemikali na vyakula vya viwandani 3)Kushindwa kumudu tendo la ndoa (kupungua nguvu) au kumaliza haraka 4)Maumivu ya kiuno ,mgongo,au ganzi 5)Matumbo ya wakina mama Kama chango nk 6)Matatizo ya figo na ...