Jipatie Full set ya PURE OUD ikiwa ni perfume na spray yake .Hii utaipata kwetu kwa bei nafuu kabisa.Wahi sasa ujipatie manukato aina tofauti kutoka dukani kwetu zipo za aina zote zakike na kiume.
Read more
Description
Jipatie Full set ya PURE OUD ikiwa ni perfume na spray yake .Hii utaipata kwetu kwa bei nafuu kabisa.Wahi sasa ujipatie manukato aina tofauti kutoka dukani kwetu zipo za aina zote zakike na kiume.
Homa ya hini (hepatitis) ni uvimbe wa ini hunaousishwa na seli kuvimba kiini katika tishu ya ini.hali hii inaweza kujiponyesha au kuendelea kuwa fibrosisi(kovu)na ugonjwa sugu wa ini.homa ya ini inaweza kujitokeza kwa kiasi au kutokuwa na dalili yoyote lakini mara nyingi huleta homa,kukosa hamu ya kula na kunyong'onyea kwa mwili.homa ya ini ni kali wakati in...
Presha(Shinikizo la Damu) ni msukumo wa damu kwenye vishipa vya damu, msukumo huo huzalishwa baada ya moyo kusukuma damu kwenye sehemu mbalimbali za mwili. Aina za Presha. Zipo aina kuu mbili za presha, yaani; (I) PRESHA YA KUPANDA (II) PRESHA YA KUSHUKA. PRESHA YA KUPANDA. Presha ya kupanda ni msukumo wa damu unaosukumwa na moyo kwenda kwenye vishipa vya da...
Mtu kuhisi ganzi maumivu au kuwaka Moto maeneo ya miguuni,mikononi kuhisi kama humevaa soksi au gloves wakati hujavaa ,kuhisi kama kuna kitu cha ncha kali kinakuchoma miguuni au kwenye vidole,kushindwa kushika au kunyanyua kitu,kuchoka kwa misuli nk
KOSANAONA ni dawa bora sana ya asili yenye uwezo wa kumaliza tatizo la ugonjwa wa kifafa hunaoanza na hulioshindikana kutoka kwa madawa mbalimbali sasa hii ni kiboko ya ugonjwa huo kwa uhakika wa 100% hii hinatibu kama hifuatavyo 1)Kifafa 2)Kutoa vitu vibaya mwilini 3)Kutoa uchafu tumboni hunaotokana na vitu vibaya 4)Ni kinga ya mwili na pepo wachafu 5))Pia ...
Dawa ya asili yenye mchanganyiko wa dawa kubwa zenye uwezo wa kutibu magonjwa yanayousu magonjwa ya uzazi kwa mwanamke 1)Hedhi zisizo na mpangilio 2)Maumivu ya wakati wa hedhi 3)Kuondoa uvimbe kwenye kizazi 4)Kusafisha mirija ya uzazi 5)Kurejesha hamu ya tendo ndoa 6)Kubalance hormon
Forever ARGI+ – Kirutubisho cha Nguvu na Afya Forever ARGI+ ni kirutubisho chenye L-Arginine, kinachoboresha mzunguko wa damu, kuongeza nishati, na kusaidia afya ya moyo na uzazi. Faida ✔ Afya ya moyo – Hupanua mishipa ya damu na kupunguza shinikizo la damu. ✔ Nguvu na stamina – Huongeza nishati na kusaidia mwili kupata nafuu haraka. ✔ Afya ya uzazi – Hubore...
Zijue Faida Zitakazokuepusha na Kukutibu Presha na Magonjwa ya Moyo Kwa Haraka. Ugonjwa wa Presha /Dawa ya Presha ya kupanda/Sababu ya Presha kupanda/Madhara ya Presha Kupanda/Tiba ya Presha/Visababishi vya Presha/Dawa ya kupungua Presha/Presha ni nini/Kushuka kwa Presha/Dawa ya Asili ya Presha/Dalili za Presha. Magonjwa ya moyo ni muunganiko wa magonjwa yan...
Mujarrabu wa Kuondoa gesi tumboni pamoja na kiungulia kwa uhakika kabisa ni dawa asilia Bora kabisa kuwahi kutokea Kama huna shida hiyo basi mwisho wa tatizo humefika lakini pia kwa wenye Matatizo ya moyo pressure na mmeng'enyo chakula pia hii dawa hinamaliza kabisa Matatizo hayo
Forever Multi-Maca – Nguvu Asili kwa Afya na Utendaji Bora Forever Multi-Maca ni kirutubisho cha asili kinachotokana na mizizi ya maca, maarufu kwa kuongeza nguvu za mwili, kuboresha afya ya uzazi, na kuimarisha stamina kwa wanaume na wanawake. Faida za Forever Multi-Maca ✔ Huongeza nguvu na stamina – Inasaidia mwili kuwa na nguvu na kupunguza uchovu. ✔ Huim...
Ni dawa inayotibu magojwa ya tezi dume 1)Inatibu tezi dume 2)Inazibua mirija ya mkojo 3)Inaimarisha mishipa 4)Inasafisha kibofu cha mkojo 5)Inatibu ngiri 6)Inatoa gesi 7)Inatibu maumivu ya mgongo