TRí E2 ni bajaji ya umeme ya kisasa, iliyotengenezwa kwa ajili ya matumizi ya kila siku ya biashara na usafirishaji. Haina matumizi ya mafuta – unachaji kwa 3,000 TZS na inakupeleka hadi 100 km kwa chaji moja.
Sifa kuu:
Umeme 100%
Betri ya 8 kWh – uwezo wa kwenda zaidi ya 100 km kwa chaji moja
Gharama ndogo ya uendeshaji – kuchaji ni 3,000 TZS pekee
Huduma ya baada ya mauzo na warranty
Inafaa kwa Bolt, Duka Direct, na biashara ya usafirishaji
Tunafungua akaunti ya Bolt bure kwa kila mteja mpya
Mikopo inapatikana kuanzia TZS 1,000,000 kupitia benki na taasisi mbalimbali za kifedha. Huhitaji kuwa na pesa nyingi kuanza – tunakusaidia uanze na umiliki wako.
Kwa mawasiliano au majaribio ya kuendesha, tafadhali wasiliana nasi sasa.
Read more