TRí E2 ni bajaji ya umeme ya kisasa, iliyotengenezwa kwa ajili ya matumizi ya kila siku ya biashara na usafirishaji. Haina matumizi ya mafuta – unachaji kwa 3,000 TZS na inakupeleka hadi 100 km kwa chaji moja. Sifa kuu: Umeme 100% Betri ya 8 kWh – uwezo wa kwenda zaidi ya 100 km kwa chaji moja Gharama ndogo ya uendeshaji – kuchaji ni 3,000 TZS pekee Huduma y...
Pata Bajaji yako ya Umeme LEO ! Chaji nyumbani kwa Tsh 3,000 tu kwa masaa 2.5, na furahia safari za kirafiki kwa mazingira za kilomita 100. Ikiwa na uwezo wa kubeba kilo 400, inakabiliana hata na vilima vikali! Yote haya kwa Tsh 8.6 milioni tu za Kitanzania. Mikopo unapatikana.