Nyumba ya Ghorofa Moja,
Vyumba 4 vya kulala vyote ni Master na Makabati ya nguo,
Sebule kubwa na eneo la kulia chakula (*Dining*),
Jiko la kisasa lenye makabati,
Eneo la kupaki magari kubwa (Parking Space),
Garden ndogo na mazingira safi,
Potential area km 5 kutoka Baharini,
Maji ya Moto ya Solar (24 Hours),
Laundry Area & Storage Room,
Tiles, Gypsum and Sliding Windows and Door.