rickrealestatetz

rickrealestatetz rickrealestatetz
Specializes in Land
Rock City Mall, Mwanza, Tanzania
128 active listings
Company
Last online 3 minutes ago
Registered for 6 months

Latest Products

rickrealestatetz Pro
rickrealestatetz 1 week
Petrol Station For Sale Sheli Iringa Town
TZS 750,000,000
Petrol Station For Sale Sheli Iringa Town
Iringa
Sheli inauzwa ipo iringa mjini Bei 750 Milioni Kituo kina pump 3 Diesel pump 1 yenye 2 Nozle Pump ya petrol 1 ya 2 Nozle Diesel na Petrol Pump 1 yaani 2 Nozle 2 Product Kuna tank 4 Petrol lita 34000 Diesel lita 34000 Jumla lita 68000
Office & Commercial Space
TZS 750,000,000
rickrealestatetz Pro
rickrealestatetz 3 weeks
Pro Land Mwanza Mwanza 3 weeks
16 Plots for Sale in Nyashishi Mwanza
TZS 3,800,000
16 Plots for Sale in Nyashishi Mwanza
Mwanza
JUMLA YA VIWANJA KUMI NA SITA (16) VINAUZWA -Eneo/Mtaa Ni Nyashishi - Mwabebeya -Ukubwa Wa Kila Kiwanja Ni Mita 20x20 =400 Sqm -Ruksa Kununua Kiwanja Kimoja Au Zaidi -Bei Tsh Milioni Tatu Na Laki Nane kwa kimoja Wasiliana Nasi Kwa Simu Namba 0743220097
Land
TZS 3,800,000
rickrealestatetz Pro
rickrealestatetz 1 month
3 Bedroom House For Sale in Ilemela Mwanza
Check with seller
3 Bedroom House For Sale in Ilemela Mwanza
Mwanza
NYUMBA INAUZWA ILEMELA JIRANI NA MWANZA AIRPORT -ina vyumba vitatu vya kulala ( viwili ni self contained ), sebule, dinning, jiko, stoo, extra room na public toilet -ukubwa wa kiwanja ni SQM 1,123 -ina hati miliki ya wizara (99 yrs ) -ina Air condition, makabati, servant quater, standby generator na car parking space kubwa -nyumba ya kwanza kutoka barabara y...
Houses & Apartments for Sale
Check with seller
rickrealestatetz Pro
rickrealestatetz 1 month
2 Bedrooms House For Rent Maduka Tisa Mwanza
TZS 458,000
2 Bedrooms House For Rent Maduka Tisa Mwanza
Mwanza
NYUMBA INAPANGISHWA MADUKA TISA -ina vyumba viwili vya kulala ( kimoja ni self contained ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet -umeme na maji unajitegemea -kodi Mil 5.5 kwa mwaka -malipo ni miezi sita -familia 4 ndani ya fensi -nyumba iko karibu na barabara ya lami ☎️ 0743220097
Houses & Apartments for Rent
TZS 458,000
rickrealestatetz Pro
rickrealestatetz 1 month
Pro Land Misungwi Mwanza 1 month
Eneo linauzwa mwanza kigongo ferry jirani na daraja la JPM
TZS 20,000,000
Eneo linauzwa mwanza kigongo ferry jirani na daraja la JPM
Mwanza
ENEO LINAUZWA KIGONGO FERRY -eneo ni la kwanza kutoka ziwani -eneo limeshapimwa tayari -ukubwa wa eneo ni heka moja (1) -bei Milioni 20 ( maongezi yapo pia ) NB:- eneo lipo Km 2 kutoka daraja la JPM ☎️ 0743220097
Land
TZS 20,000,000
rickrealestatetz Pro
rickrealestatetz 1 month
Pro Airbnb Mwanza Mwanza 1 month
Apartment with appliances for rent
TZS 250,000
Apartment with appliances for rent
Mwanza
APARTMENT WITH APPLIANCES FOR RENT TWO BED ROOMS ((ONE MASTER BEDROOM SITTING KITCHEN PRICE TZS 250,000 PER DAY ☎️ 0743220097
Airbnb
TZS 250,000
rickrealestatetz Pro
rickrealestatetz 1 month
Pro Land Mwanza Mwanza 1 month
Kiwanja kinauzwa ilemela - mwanza
TZS 180,000,000
Kiwanja kinauzwa ilemela - mwanza
Mwanza
KIWANJA KINAUZWA ILEMELA -ukubwa wa kiwanja ni SQM 1,000 -kina hati miliki ya wizara ( 99 yrs ) -matumizi ya kiwanja ni makazi -kiwanja kina fensi pande tatu -bei Milioni 180 ( maongezi yapo ) ☎️ 0743220097
Land
TZS 180,000,000
rickrealestatetz Pro
rickrealestatetz 2 months
Nyumba mpya inapangishwa bugando hosp - mwanza
TZS 130,000
Nyumba mpya inapangishwa bugando hosp - mwanza
Mwanza
NYUMBA MPYA INAPANGISHWA BUGANDO -chumba kimoja self kikubwa na jiko -kodi 130,000 kwa mwezi -malipo ni miezi 3
Houses & Apartments for Rent
TZS 130,000
rickrealestatetz Pro
rickrealestatetz 2 months
Pro Land Misungwi Mwanza 2 months
Kiwanja cha barabarani kinauzwa kigongo fery ( daraja la JPM )
TZS 30,000,000
Kiwanja cha barabarani kinauzwa kigongo fery ( daraja la JPM )
Mwanza
-ukubwa wa kiwanja ni 50x40 =2,000 sqm -kiwanja kimeshapimwa tayari -kiwanja kipo karibu kabisa na daraja la JPM -panafaa kwa makazi au biashara -bei Milioni 30
Land
TZS 30,000,000
rickrealestatetz Pro
rickrealestatetz 2 months
Pro Land Misungwi Mwanza 2 months
Shamba la heka moja linauzwa kigongo fery ( daraja la JPM )
TZS 25,000,000
Shamba la heka moja linauzwa kigongo fery ( daraja la JPM )
Mwanza
-shamba ni la kwanza kutoka ziwani -panafaa kwa makazi, kilimo, ufugaji n.k -shamba lipo km 2 kutoka daraja la JPM lilipo -umeme, maji na barabara vyote vipo Bei Milioni 25
Land
TZS 25,000,000
rickrealestatetz Pro
rickrealestatetz 2 months
Pro Land Iringa Iringa 2 months
Shamba la chai la ukubwa wa heka 120 linauzwa mufindi
TZS 350,000,000
Shamba la chai la ukubwa wa heka 120 linauzwa mufindi
Iringa
-shamba lipo mufindi -ukubwa wa shamba ni heka 120 -shamba lina hati miliki ya wizara -umeme, maji na barabara vipo -bei Milioni 350
Land
TZS 350,000,000
rickrealestatetz Pro
rickrealestatetz 2 months
Pro Land Mwanza Mwanza 2 months
eneo linauzwa kisesa - mtaa wa isangijo
TZS 25,000,000
eneo linauzwa kisesa - mtaa wa isangijo
Mwanza
ENEO LINAUZWA KISESA -ukubwa wa eneo ni heka moja ( 70x70 ) -eneo lipo karibu na barabara ya lami -umeme, maji na barabara vyote vipo site -bei Milioni 25 📞 0743220097
Land
TZS 25,000,000
rickrealestatetz Pro
rickrealestatetz 2 months
Pro Airbnb Mwanza Mwanza 2 months
Two masterbedroom Private apartment to rent mwanza
TZS 350,000
Two masterbedroom Private apartment to rent mwanza
Mwanza
Private apartment to rent mwanza - two masterbed room, siting room, kitchen, dinning room, store and public toilet -it has swimming pool, garden, car parking, cctv camera, eletrical fence Only one house to the compound.
Airbnb
TZS 350,000
rickrealestatetz Pro
rickrealestatetz 2 months
Pro Land Mwanza Mwanza 2 months
Beach plot ( imeanzia ziwani ) inauzwa nyanguge mwanza
TZS 78,000,000
Beach plot ( imeanzia ziwani ) inauzwa nyanguge mwanza
Mwanza
BEACH PLOT INAUZWA NYANGUGE -eneo ni la kwanza kutoka ziwani -ukubwa wa eneo ni heka mbili (2) -eneo linafaa kwa makazi, biashara -bei Milioni 78 ( mazungumzo yapo) NB:- -Kuna beach plot ya heka 25 imeanzia ziwani inauzwa yenyewe ipo nyanguge karibu na bugando beach -Njoo na surveyor ( mpimaji ) kuhakiki eneo ☎️ 0743220097
Land
TZS 78,000,000
rickrealestatetz Pro
rickrealestatetz 2 months
Nyumba mpya zinapangishwa machinjioni
TZS 200,000
Nyumba mpya zinapangishwa machinjioni
Mwanza
NYUMBA MPYA ZINAPANGISHWA MACHINJIONI -chumba kimoja self contained, sebule na jiko -umeme na maji unajitegemea -kodi Tsh 200,000 kwa mwezi -malipo ni miezi sita ☎️ 0743220097
Houses & Apartments for Rent
TZS 200,000
rickrealestatetz Pro
rickrealestatetz 2 months
Pro Land Mwanza Mwanza 2 months
Shamba linauzwa magu - masanza kona
TZS 3,500,000
Shamba linauzwa magu - masanza kona
Mwanza
SHAMBA LINAUZWA MAGU -ukubwa wa shamba ni heka mbili (2) -shamba linafaa kwa kilimo, ufugaji n.k -bei Milioni 3,500,000/= ???? 0743220097
Land
TZS 3,500,000
Are you a professional seller? Create an account