NYUMBA INAPANGISHWA BUZURUGA -ina vyumba vitatu vya kulala ( kimoja ni self contained ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet -ina heater, makabati jiko na vyumbani, CCTV camera, garden na public toilet ya njee -kodi Milioni 7 kwa mwaka -malipo miezi sita NB:- Nyumba Moja Ndani Ya Fensi ???? 0743 220097
NYUMBA INAPANGISHWA NYASAKA •Ground Floor ina vyumba viwili vya kulala vyote ni self contained, sebule, dinning, jiko na public toilet • First Floor ina vyumba vitatu vya kulala vyote ni self contained, sebule, public toilet na chumba cha kusalia Ina servant quater ya chumba x 2, stoo na public toilet • kodi Milioni 2 kwa mwezi NB:- Nyumba Moja Ndani Ya Fens...
Nyumba inapangishwa mecco mtaa kangaye -ina vyumba viwili vya kulala ( kimoja ni self contained ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet -kodi ni Milioni 4 kwa mwaka -umeme na maji unajitegemea -familia mbili ndani ya fensi moja
Beach plot inauzwa nyanguge pembeni ya bugando beach -ukubwa ni heka mbili (2) -eneo ni la kwanza kutoka ziwani -eneo limepimwa tayari -umeme, maji na barabara vipo -bei Milioni 70
KIWANJA KINAUZWA NYAMHONGOLO - NANENANE -kiwanja kina fensi pande zote na geti -ukubwa wa kiwanja ni 40x30 =1,200 Sqm -kina hati miliki ya wizara -bei Milioni 96 NB:- kipo karibu na barabara ya lami ( musoma road )
NYUMBA INAPANGISHWA NYASAKA -ina vyumba vinne vya kulala ( kimoja ni self contained ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet -nyumba moja ndani ya fensi -nyumba iko karibu na barabara ya lami -kodi Milioni 7 kwa mwaka -malipo ni mwaka mzima ???? 0743220097