3bdrm stand alone house for rent masaki with swimming pool spacious living room dinning room kitchen cabinets All room self contained back up generator garden Price usd 4000 call wasap +255714592413 0635503976
Nyumba inapangishwa Mbeya mjini. Ni nyumba inayojitegemea. Ina vyumba 3 vya kulala,sebule,chumba cha chakula, jina jiko kubwa, Tshs. 1.2m kwa mwezi.Mazungumzo yapo. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
NYUMBA INAPANGISHWA MADUKA TISA -ina vyumba viwili vya kulala ( kimoja ni self contained ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet -umeme na maji unajitegemea -kodi Mil 5.5 kwa mwaka -malipo ni miezi sita -familia 4 ndani ya fensi -nyumba iko karibu na barabara ya lami ☎️ 0743220097
NYUMBA INAPANGISHWA NYASAKA BLESSING -ina vyumba vitatu vya kulala ( kimoja ni self contained ), sebule, jiko, dinning, stoo na public toilet -kodi Milioni 3 kwa mwaka -malipo ni miezi sita NB:- Nyumba moja ndani ya fensi ???? 0743220097
NYUMBA INAPANGISHWA NYASAKA •Ground Floor ina vyumba viwili vya kulala vyote ni self contained, sebule, dinning, jiko na public toilet • First Floor ina vyumba vitatu vya kulala vyote ni self contained, sebule, public toilet na chumba cha kusalia Ina servant quater ya chumba x 2, stoo na public toilet • kodi Milioni 2 kwa mwezi NB:- Nyumba Moja Ndani Ya Fens...
Minja real estate & Car Broker introduce:- Plot for sale Goba Kinzudi. Plot size Sqm 1000....Mil 110. 150 meters from tarmac road. Please call/whats app if your serious buyer via 0687575770.