Shamba linauzwa lenye ukubwa wa heka 50. Lipo Kiwangwa, Bagamoyo - Pwani. Bei ni Tsh 700,000 kwa heka moja. Umbali ni kilomita 3 kutoka barabara kuu ya lami. Eneo linafaa kwa kilimo, makazi, na ufugaji. Mawasiliano: 0653870009
*🟢 SHAMBA LINAUZWA – KIWANGWA, BAGAMOYO 🟢* Fursa ya kumiliki ardhi yako! ✅ Ukubwa: Heka 10 ✅ Umbali: Km 4 kutoka barabara ya lami ✅ Mahali: Kiwangwa – Bagamoyo ✅ Mazingira tulivu, yanafaa kwa kilimo, ufugaji au makazi ✅ Umeme na maji karibu 💰 Bei: TSh 900,000 kwa heka (maelewano yapo) 📞 *Wasiliana na Mr. Chilo – 0714 121 506* *Miliki shamba lako leo – usipit...
Shamba linauzwa lipo kiwangwa bagamoyo pwani linaukubwa wa heka 2 linafa kulima mazao yoyote au kufuga kisasa hata makazi pia umbali kutoka lami kilometa 3 barabara safi mpaka shamba bei sh milioni moja na laki tano kwa heka moja mawasiliano no 0714121506 kalibuni sana kiwangwa yenye neema kuona bule asanteni sana
VIWANJA VINAUZWA KIBAHA-KWA MFIPA/GALAGAZA "Nunua ardhi sasa-wakiwa bado hawajauona thamani yake," Hivi viwanja vipo KIBAHA-KWA MFIPA/ GALAGAZA,unaweza kujenga nyumba za makazi au matumizi mengine kutokana maitaji yako. Miondombinu yote kama maji,umeme barabara na huduma zote za kijamii zinapatikana 👉 KIBAHA-KWA MFIPA-GALAGAZA Size: 20 x 20...........Bei Mil...
Kwa wateja serious only ,tufanye Biashara Kiwanja kina nyumba kumbwa na chumba kimoja cha ziada kwa nje, Kipo :- msongola, ilala Bei :- 25 million Ukubwa :- 318 square mita
🌍 KIWANJA CHENYE MSINGI KINAUZWA - CHANIKA MILION 3.8 🌍 📞 Piga sasa kwa maelezo zaidi au kupelekwa site: 📲 0716929703 / 0653358435 💬 Au bonyeza hapa kuwasiliana moja kwa moja kwa WhatsApp: 👉 https://wa.me/255625901623 📍 Chanika Mwisho – Kwa Makamu wa Rais 🚗 Umbali wa kilomita 2 kutoka barabara kuu 🚙 Gari inafika hadi site 📏 Ukubwa wa Kiwanja: ni 20 kwa 20 (4...
SHAMBA LINAPATIKANA KIWANGWA - BAGAMOYO Linauzwa shamba lenye ukubwa wa *hekari 50*. *Bei*: Laki 7 (700,000) kwa hekari moja *Mahali*: Kiwangwa, Bagamoyo – Mkoa wa Pwani *Umbali*: Kilomita 3 tu kutoka barabara kuu ya lami *Eneo linafaa kwa:* - Kilimo cha mazao mbalimbali - Ufugaji wa kisasa na wa kienyeji - Ujenzi wa makazi au miradi ya uwekezaji - Mazingira...