SHAMBA LINAPATIKANA KIWANGWA - BAGAMOYO Linauzwa shamba lenye ukubwa wa *hekari 50*. *Bei*: Laki 7 (700,000) kwa hekari moja *Mahali*: Kiwangwa, Bagamoyo – Mkoa wa Pwani *Umbali*: Kilomita 3 tu kutoka barabara kuu ya lami *Eneo linafaa kwa:* - Kilimo cha mazao mbalimbali - Ufugaji wa kisasa na wa kienyeji - Ujenzi wa makazi au miradi ya uwekezaji - Mazingira...
JUMLA YA VIWANJA KUMI NA SITA (16) VINAUZWA -Eneo/Mtaa Ni Nyashishi - Mwabebeya -Ukubwa Wa Kila Kiwanja Ni Mita 20x20 =400 Sqm -Ruksa Kununua Kiwanja Kimoja Au Zaidi -Bei Tsh Milioni Tatu Na Laki Nane kwa kimoja Wasiliana Nasi Kwa Simu Namba 0743220097
ENEO ( BEACH PLOT ) INAUZWA NYANGUGE -ukubwa wa eneo ni heka nne (4) -eneo ni la kwanza kutoka ziwani -umeme, maji na barabara vipoo -bei Milioni 45 + Wasiliana Nasi ☎️ 0743220097
Shamba linauzwa lenye ukubwa wa heka 20 lipo umbali wa kilometa 3 kutoka barabara kuu ya lami shamba lipo kiwangwa bagamoyo bei ni laki 8 kwa heka shamba ni zuri sana na lipo sehem nzuri kwa mawasiliano zaidi piga namba 0653870009.
KIWANJA KIZURI CHA MAKAZI NA BIASHARA KINAUZWA HAPA OYSTERBAY DODOMA, KWA WEWE MUWEKEZAJI WA APARTMENT NA MADUKA TAYARI TUMEKUANDALIA RAMANI YA MAJENGO UNAWEZA KUONA IDADI YA NYUMBA ZITAKAZO WEZA KUKAA. UTAONA IDADI YA MADUKA YANAYO WEZA KUKAA HAPA, ✅Matumizi ni Makazi na Biashara SQM - 1100, Kiwanja hiki ni cha kwanza Barabara mpya ya Lami ya Oysterbay - un...