SHAMBA LINAPATIKANA KIWANGWA - BAGAMOYO
Linauzwa shamba lenye ukubwa wa *hekari 50*.
*Bei*: Laki 7 (700,000) kwa hekari moja
*Mahali*: Kiwangwa, Bagamoyo – Mkoa wa Pwani
*Umbali*: Kilomita 3 tu kutoka barabara kuu ya lami
*Eneo linafaa kwa:*
- Kilimo cha mazao mbalimbali
- Ufugaji wa kisasa na wa kienyeji
- Ujenzi wa makazi au miradi ya uwekezaji
- Mazingira ni tulivu na salama
*Huduma za kijamii* kama maji na umeme zipo karibu.
*Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi au kuona eneo:*
*Simu:* 0653870009
Read more