Shamba linauzwa lenye ukubwa wa heka 20 lipo umbali wa kilometa 3 kutoka barabara kuu ya lami shamba lipo kiwangwa bagamoyo bei ni laki 8 kwa heka shamba ni zuri sana na lipo sehem nzuri kwa mawasiliano zaidi piga namba 0653870009.
Shamba linauzwa lipo kiwangwa bagamoyo pwani linaukubwa wa heka umbali linafa kulima mazao yoyote au kufuga kisasa hata makazi pia umbali kutoka lami kilometa 3 barabara safi mpaka shamba mawasiliano no 0714121506 kalibuni sana kiwangwa yenye neema kuona bule asanteni sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Shamba linauzwa lipo kijiji cha bago kata ya kiwangwa halimashauli ya chalinze wilaya ya bagamoyo linaukubwa wa heka 100 linafa kulima mazao ya aina yoyote au kufuga kisasa umbali kutoka lami kilometa 9 barabara safi mpaka shamba mawasiliano no 0714121506 whatsapp ipo bei sh laki tano kwa heka moja kalibuni sana kiwangwa yenye neema kuona bule asanteni sana
Vinauzwa viwanja vilivyopimwa kuanzia sqm 400 hadi sqm 600 bei ni 6.5 milioni mpaka 9m ,viwanja vipo kelege Matumbi km 2 toka bagamoyo road piga 0754292666 kwa maelezo zaidi
SHAMBA LINAPATIKANA KIWANGWA - BAGAMOYO Linauzwa shamba lenye ukubwa wa *hekari 50*. *Bei*: Laki 7 (700,000) kwa hekari moja *Mahali*: Kiwangwa, Bagamoyo – Mkoa wa Pwani *Umbali*: Kilomita 3 tu kutoka barabara kuu ya lami *Eneo linafaa kwa:* - Kilimo cha mazao mbalimbali - Ufugaji wa kisasa na wa kienyeji - Ujenzi wa makazi au miradi ya uwekezaji - Mazingira...
ml 8 sgm 650 kiwanja kipo mapinga tungutungu klomita 2 kutoka bagamoyo rd pkpk elfu 1000 umefka hiki kiwanja kinatupwa mwenyewe anashida sana kimfaacho mtu chake Maongezi yapo
Land for sale, Mashamba yanauzwa zaidi ya ekari 2000. Yanauzwa kunzia ekari 500 Yanapatikana Njombe Mfiriga. Yanafaa kwa kulimo cha parachichi, Nanasi, miti, maharage, mahindi na mazao mengine pia pori zuri kwa ufugaji nyuki.
PLOT FOR SALE - TABATA MAGENGENI KARIBU NA KANISA LA AMANI Kiwanja kizuri mno ndani kina nyumba ukubwa wa sqm 600.Ndani ya fensi, Kimepimwa. Document zote zipo. Bei Milioni 55. Mawasiliano : 0753288167 Follow @kirikarealestates_agent @kirikarealestates_agent @kirikarealestates_agent @kirikarealestates_agent #viwanja #tabata #daresalam