Kiwanja kikubwa square meter 2745 kipo Geza kigamboni kina hati na huduma zote muhimu kama maji umeme na miundo mbinu ya barabara ipo tayari vizuri bei ni maelewano.
Kuna viwanja vina hati bagamoyo viwili kwa pamoja jamaa anataka 45m bei inapungua Apo vipo viwanja viwili kimoja ukubwa ni 418 kiginine ukubwa 620 vyote mwenyewe anauza