Viwanja vipo Kisarawe II mtaa wa lingato ni KM 3 kutoka bararabara inayowekewa lami kuelekea viwandani, pia huduma za kijamii kama maji, umeme, shule na hospitali zipo karibu
Read more
Specs
Property Size Sq Ft4306
Description
Viwanja vipo Kisarawe II mtaa wa lingato ni KM 3 kutoka bararabara inayowekewa lami kuelekea viwandani, pia huduma za kijamii kama maji, umeme, shule na hospitali zipo karibu
-ukubwa wa kiwanja ni 50x40 =2,000 sqm -kiwanja kimeshapimwa tayari -kiwanja kipo karibu kabisa na daraja la JPM -panafaa kwa makazi au biashara -bei Milioni 30
BEACH PLOT INAUZWA NYANGUGE -eneo ni la kwanza kutoka ziwani -ukubwa wa eneo ni heka mbili (2) -eneo linafaa kwa makazi, biashara -bei Milioni 78 ( mazungumzo yapo) NB:- -Kuna beach plot ya heka 25 imeanzia ziwani inauzwa yenyewe ipo nyanguge karibu na bugando beach -Njoo na surveyor ( mpimaji ) kuhakiki eneo ☎️ 0743220097
KIWANJA KINAUZWA ISAMILO INTERNATIONAL -ukubwa wa kiwanja ni Sqm 591 -kina hati miliki ya wizara -bei Milioni 150 NB:- -kiwanja kimezungukwa na barabara ya lami pande mbili ( corner plot ) Plot Namba 215, Kitalu “D” isamilo
🏡 KIWANJA KINAUZWA – KIGAMBONI KIMBIJI 📐 Ukubwa: 667.3 sqm 💰 Bei: Milioni 6 tu LIPA KWA INSTRUMENT 📍 Umbali kutoka Feri: Km 30 ✅ Barabara inafikika vizuri ✅ Huduma zote za kijamii zinapatikana ✅ Eneo zuri, tambarale na tulivu 📞 PIGA SIMU: 0653 358 435 / 0625 901 623 💬 GUSA LINK UCHAT na Meneja Mradi Anthonia kwenye WhatsApp: 👉 https://wa.me/255625901623 Furs...
📍 KIWANJA KINAUZWA SQM 932 - MILION 38, KIGAMBONI GEZAULOLE - KIBUGUMO 📞 PIGA SIMU SASA kwa maelezo zaidi: 📲 0625 901 623 / 0653 358 435 AU GISA LINK TUCHAT WhatsApp. https://wa.me/255625901623 UNAHITAJI KIWANJA KIKUBWA KARIBU NA BARABARA NA HUDUMA ZOTE MUHIMU? HIKI HAPA! 🌍 SQM 932 kwa TSH MILIONI 38 tu! 📏 KIMEPIMWA KISHERIA NA KUNA HATI KUTOKA WIZARA 🛣️ UMB...
📍 Mahali: Misugusugu, Kibaha (Karibia na grid ya umeme ya taifa) 📐 Ukubwa: 24m x 28m = 672 sqm 🏠 Msingi wa Nyumba ya Kisasa Tayari ➡️ Vyumba 4 (viwili ni Master) ➡️ Sebule, Dining, Jiko, Store, na Public Toilet 🛠️ Spetic Tank limechimbwa 🧱 Matofali 300+ tayari yapo site ⚡ Umeme, barabara na Maji vipo jirani kabisa 🗺️ Ramani ya Nyumba utapewa bure kabisa! 💸 B...
SHAMBA LA KILIMO CHA MPUNGA LINAUZWA MAGU -ukubwa wa shamba ni heka kumi ( 10 ) -shamba lipo karibu na chanzo cha maji -shamba lipo umbali wa km 69 kutoka mwanza mjini -bei Milioni 20 kwa shamba lote ???? 0743220097