A new apartment is available for rent in Mbezi, Kibanda Cha Mkaa, very close to Morogoro Road. It has two bed-rooms, one self-contained. A large living room, dining area, kitchen, pantry, public toilet and bathroom inside. Water from DAWASA is available 24/7. It has its own water and electricity meters. The rent is only 500,000 TZS per month, lease is 6-month contract. If interested, call 0714 928143. .
Nyumba MPYA ya kupanga, ipo mbezi kibanda cha mkaa, dakika 5 kwa miguu kufika kituo cha mwendokasi. Inavyumba viwili kimoja masta, sebule kubwa, dining, jiko, stoo, choo cha public, feni za juu, maji yanatoka ndani mda wote, mita ya umeme na maji inajitegemea, ziko mbili ndani ya get. Kodi ni laki 5 kwa mwezi, kodi ya miezi 6 . Ukihitaji piga 0789928142...