The house is located in Mbezi Beach kidimbwi Surrounded by a great neighborhood, this house is just next to the beach giving a wonderful sea breeze experience. This house has the following: - 8 bedrooms (4 upstairs, 4 downstairs) - Modern kitchen and dining hall - Fabulous sitting room - Parking and garden - Servant quarter with 2 bedrooms, kitchen, and toil...
Nyumba inapangishwa mecco mtaa kangaye -ina vyumba viwili vya kulala ( kimoja ni self contained ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet -kodi ni Milioni 4 kwa mwaka -umeme na maji unajitegemea -familia mbili ndani ya fensi moja
NYUMBA INAPANGISHWA -vyumba 03 ( masterbed room 1), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet -makabati, feni, heater, water reserve tank, car parking space -kodi 650,000 kwa mwezi -malipo ni miezi sita NB:- *Nyumba moja ndani ya fensi
NYUMBA INAPANGISHWA BUZURUGA -ina vyumba vitatu vya kulala ( kimoja ni self contained ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet -ina heater, makabati jiko na vyumbani, CCTV camera, garden na public toilet ya njee -kodi Milioni 7 kwa mwaka -malipo miezi sita NB:- Nyumba Moja Ndani Ya Fensi ???? 0743 220097
NYUMBA INAPANGISHWA NYASAKA BLESSING -ina vyumba vitatu vya kulala ( kimoja ni self contained ), sebule, jiko, dinning, stoo na public toilet -kodi Milioni 3 kwa mwaka -malipo ni miezi sita NB:- Nyumba moja ndani ya fensi ???? 0743220097
NYUMBA MPYA ZINAPANGISHWA MACHINJIONI -chumba kimoja self contained, sebule na jiko -umeme na maji unajitegemea -kodi Tsh 200,000 kwa mwezi -malipo ni miezi sita ☎️ 0743220097