NYUMBA INAPANGISHWA MADUKA TISA -ina vyumba viwili vya kulala ( kimoja ni self contained ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet -umeme na maji unajitegemea -kodi Mil 5.5 kwa mwaka -malipo ni miezi sita -familia 4 ndani ya fensi -nyumba iko karibu na barabara ya lami ☎️ 0743220097
Apartment inapangishwa buswelu center -ina vyumba viwili vya kulala ( kimoja ni self ), sebule, jiko na public toilet -kodi Milioni 2 kwa mwaka -malipo ni miezi sita -umeme na maji unajitegemea Nyumba ya 2 kutoka barabara ya lami 0743220097
NYUMBA INAPANGISHWA NYASAKA BLESSING -ina vyumba vitatu vya kulala ( kimoja ni self contained ), sebule, jiko, dinning, stoo na public toilet -kodi Milioni 3 kwa mwaka -malipo ni miezi sita NB:- Nyumba moja ndani ya fensi ???? 0743220097
NYUMBA INAPANGISHWA NYASAKA -ina vyumba vinne vya kulala ( kimoja ni self contained ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet -nyumba moja ndani ya fensi -nyumba iko karibu na barabara ya lami -kodi Milioni 7 kwa mwaka -malipo ni mwaka mzima ???? 0743220097
3bdrm stand alone house for rent masaki with swimming pool spacious living room dinning room kitchen cabinets All room self contained back up generator garden Price usd 4000 call wasap +255714592413 0635503976