NYUMBA MPYA INAPANGISHWA BUSWELU WILAYANI
-ina vyumba viwili vya kulala ( kimojawapo ni self contained ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet
-umeme na maji unajitegemea
-kodi Tsh Milioni 5 kwa mwaka
-malipo ni miezi sita
NB:-
Nyumba mbili (2) kwenye fensi moja
☎️ 0743220097