• Direction: Goba Njia Nne mtaa wa Lalata
• Condition: Nzuri ya kuhamia
• Plot status: Pamepimwa na kupandikizwa mawe
• Plot Area: Mita za mraba (sqm) 1,200
• Document: Barua ya mauziano
• Price: TZS milioni 170
• Kupelekwa kuona: TZS 30,000
.
Kila nyumba ina:
✓ vyumba vyote master; sebule; jiko; common washroom
✓ maji na umeme
✓ mita 800 kutoka lami ya kuelekea Mbezi Mwisho
✓pia ndani ya eneo kuna nyumba ndogo 2 za chumba na sebule
Read more