NYUMBA INAUZWA ????MAKULU OYSTERBAY -Nyumba ina vyumba 5 vya kulala kimoja master, sebule, dining, jiko, stoo na public toilet & bafu -KIWANJA - Square meter 446 -ina hati miliki ya wizara BEI - Million 120
👆 *FOR SALE* 👆 - Mikocheni - Two houses - In one compound - 1st house with 4 bedrooms - 2nd house with 2 bedrooms - With title deed - Price: Tsh 800 million all - Plot size: 654 square meters - Call/WhatsApp +255714592413 0625503976
Nyumba inauzwa buswelu -ina vyumba vitatu vya kulala ( kimoja ni self contained ), sebule, jiko, stoo na public toilet -ukubwa wa kiwanja ni 40x30 =1,200 sqm -ina hati miliki ya wizara -bei Milioni 75
NYUMBA YA KIZAMANI INAUZWA NYAMANORO -nyumba ya pili kutoka barabara ya lami (airport road) -ukubwa wa kiwanja ni 30x15 =450 Sqm -ina hati miliki ya wizara -bei Milioni 130 ???? 0743 220097
Nyumba ya vyumba viwili (2) vikubwa, Sebule kubwa na jiko na choo. Madirisha safi makubwa na mapya ya Aluminium. Ukubwa wa eneo ni hekari moja kasoro, lipo karibu kabisa na barabara inayoelekea kivuko cha Busisi.
Nyumba inauzwa pasiasi mtaa lumala -ina vyumba vitatu vya kulala ( kimoja ni self contained ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet -ukubwa wa kiwanja ni 25x20 =500 sqm -ina hati miliki ya wizara -bei Milioni 55