~Nyumba ipo East africa, jirani na kituo cha daladala Intel
~ukubwa wa eneo ni 14x20
~nyumba ina vyumba 3, kimoja ni masterbedroom,sebule kubwa, dining, jiko, stoo na choo cha ndani (public toilet)
~Umeme upo na miundombinu ya maji ipo
~BEI 40,000,000 maongezi yapo.
call & whatsapp +25567828201