✅ Kiwanja kipo eneo zuri lenye maji na umeme karibu
✅ Barabara nzuri inafika hadi kwenye kiwanja
✅ Kipo Umbali wa 1.3 Km kutoka barabara ya kuu ya Dar - Moro
✅ Karibu na huduma muhimu za kijamii
✅ Fursa kubwa kwa wanaotafuta eneo la kujenga makazi au kuwekeza
NB: TZS 35,000 per square meter
Read more