✅ Kiwanja kipo eneo zuri lenye maji na umeme karibu ✅ Barabara nzuri inafika hadi kwenye kiwanja ✅ Kipo Umbali wa 1.3 Km kutoka barabara ya kuu ya Dar - Moro ✅ Karibu na huduma muhimu za kijamii ✅ Fursa kubwa kwa wanaotafuta eneo la kujenga makazi au kuwekeza NB: TZS 35,000 per square meter