SHAMBA LINAPATIKANA KIWANGWA - BAGAMOYO Linauzwa shamba lenye ukubwa wa *hekari 50*. *Bei*: Laki 7 (700,000) kwa hekari moja *Mahali*: Kiwangwa, Bagamoyo – Mkoa wa Pwani *Umbali*: Kilomita 3 tu kutoka barabara kuu ya lami *Eneo linafaa kwa:* - Kilimo cha mazao mbalimbali - Ufugaji wa kisasa na wa kienyeji - Ujenzi wa makazi au miradi ya uwekezaji - Mazingira...
Kwa wateja serious only ,tufanye Biashara Kiwanja kina nyumba kumbwa na chumba kimoja cha ziada kwa nje, Kipo :- msongola, ilala Bei :- 25 million Ukubwa :- 318 square mita
JUMLA YA VIWANJA KUMI NA SITA (16) VINAUZWA -Eneo/Mtaa Ni Nyashishi - Mwabebeya -Ukubwa Wa Kila Kiwanja Ni Mita 20x20 =400 Sqm -Ruksa Kununua Kiwanja Kimoja Au Zaidi -Bei Tsh Milioni Tatu Na Laki Nane kwa kimoja Wasiliana Nasi Kwa Simu Namba 0743220097
Pangeni Agricultural Farmland for sale in Kirombero Zanzibar, ideal for commercial farming (415906.5 sqm). The land is ideal for farming and other projects such as establishment of a school, hotel etc, this area is about 4 minutes from the main road with electricity and water accessibility. Contact now for more information and arrangement of viewing.
♦️ Viwanja vimeshuka bei ni kuanzia milioni Moja na laki sita tu. ♦️Bomang'ombe Kilimanjaro na Kikatiti Arusha ♦️ Ukubwa ni 15 kwa 20. ♦️ Unalipa nusu iliyobaki unalipa taratibu ndani ya miezi 6 ♦️Mawasiliano. 0769728776 https://wa.me/message/R5H3WUFKZWELN1
Ninauza kiwanja changu Kibaha Visiga-Madafu Ukubwa Square meter 400 Umbali kutoka barabara kuu km 3.5 Usafiri pikipiki 1500 panafikika kwa aina zote za usafiri Umeme wa TANESCO na Maji ya DAWASA pamoja na huduma nyingine za kijamii zinapatikana. Kiwanja kipo sehemu Tambarale na nzuri Bei ni milioni 8.5 |Maelewano yapo kidogo Piga 0745666061 |Mimi ndio Mmilik...