🏝️ Beach Plot for Sale – Kigamboni, Mwongozo (Bamba Beach) 🏝️ 📍 Location: Mwongozo – Bamba Beach, Kigamboni 📏 Size: 5,519 sqm 📜 Documents: Hati miliki safi 🌊 Feature: Beach front – inafaa kwa hotel, resort, restaurant au nyumba za likizo 🏢 Zoning: Commercial area 🚗 Distance: ~6 km kutoka Kigamboni Ferry (dakika 15–20 kwa gari)
-ukubwa wa kiwanja ni 50x40 =2,000 sqm -kiwanja kimeshapimwa tayari -kiwanja kipo karibu kabisa na daraja la JPM -panafaa kwa makazi au biashara -bei Milioni 30
Shamba linauzwa lipo kiwangwa bagamoyo pwani linaukubwa wa heka linafa 2 lina nyumba ya vyumba 2 vyote kwa pamoja panauzwa sh milioni kumi lipo kijiji cha msinune kuona biasha bule asanteni sana
Shamba linauzwa lipo kiwangwa bagamoyo pwani linaukubwa wa heka kumi linafa kulima mazao yoyote au kufuga kisasa umbali kutoka lami kilometa 3 barabara safi umeme upo maji yapo bei sh milioni 2500000 kwa heka moja shamba lipo kijiji cha mwetemo
KIWANJA KINAUZWA NYAMHONGOLO - NANENANE -kiwanja kina fensi pande zote na geti -ukubwa wa kiwanja ni 40x30 =1,200 Sqm -kina hati miliki ya wizara -bei Milioni 96 NB:- kipo karibu na barabara ya lami ( musoma road )