🎉 *TANGAZO LA MAUZO – MWANZA* 🎉
👉 *Kiwanja chenye nyumba kinauzwa moja kwa moja na mmiliki – *Hakuna dalali!**
📍 *Eneo:* Kalwande, Mwanza
➡️ Karibu na:
- Hospitali ya *Bukumbi*
- *Chuo cha Ufundi*
- *Kituo cha Wazee*
- *Daraja la Magufuli (Busisi–Kigongo)*
- Km 15 kutoka Buhongwa
- Mita 200 kutoka barabara ya Geita–Mwanza
🏡 *Nyumba:*
- *Chumba kimoja (self-contained)* + *Sebule*
- Umeme umeunganishwa
- Maji ya bomba yapo mita 100
- Pia kuna choo cha nje (public toilet)
🌳 *Kiwanja:*
- Ukubwa: *Zaidi ya SQM 2000*
- Kimepandwa miti ya matunda na mbao:
Maembe, Mapapai, Zambalau, Korosho, Kisamvu, Limao, Milonge, Mibuyu n.k.
- Mazingira safi na kivuli kizuri
📝 *UMILIKI:*
- *Hati zote za umiliki zipo na halali*
💰 *Bei:* Milioni *18* – *Mazungumzo yapo*
📞 *Wasiliana na mmiliki moja kwa moja:* *Zeddy Mbwilo* – 0758 128 485
🔊 *Hakuna dalali!*
Ukileta mnunuzi, *utapata posho yako.*
*Fursa halali ya umiliki – wahi sasa!*
Read more