Nyumba Inauzwa – Kimara, Dar es Salaam Bei: TZS 65,000,000 (Inayoweza kujadiliwa) Ukubwa wa Eneo: 25x25 sqm (Jumla sqm 650) Umiliki: Hati safi Hii ni nyumba ya makazi iliyojengwa kwenye kiwanja chenye ukubwa wa 25x25 sqm kilichopo Kimara, Dar es Salaam. Eneo lina uwanja mpana unaofaa kwa upanuzi wa baadaye au bustani. Umeme na maji vimeunganishwa, na mtaa ni...
Ninauza kiwanja changu Kibaha Visiga-Madafu Ukubwa Square meter 400 Umbali kutoka barabara kuu km 3.5 Usafiri pikipiki 1500 panafikika kwa aina zote za usafiri Umeme wa TANESCO na Maji ya DAWASA pamoja na huduma nyingine za kijamii zinapatikana. Kiwanja kipo sehemu Tambarale na nzuri Bei ni milioni 8.5 |Maelewano yapo kidogo Piga 0745666061 |Mimi ndio Mmilik...
Shamba linauzwa lipo kiwangwa bagamoyo pwani linaukubwa wa heka umbali linafa kulima mazao yoyote au kufuga kisasa hata makazi pia umbali kutoka lami kilometa 3 barabara safi mpaka shamba mawasiliano no 0714121506 kalibuni sana kiwangwa yenye neema kuona bule asanteni sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Shamba linauzwa lenye ukubwa wa heka 20 lipo umbali wa kilometa 3 kutoka barabara kuu ya lami shamba lipo kiwangwa bagamoyo bei ni laki 8 kwa heka shamba ni zuri sana na lipo sehem nzuri kwa mawasiliano zaidi piga namba 0653870009.
Shamba linauzwa lipo kiwangwa bagamoyo pwani linaukubwa wa heka 2 linafa kulima mazao yoyote au kufuga kisasa hata makazi pia umbali kutoka lami kilometa 3 barabara safi mpaka shamba bei sh milioni moja na laki tano kwa heka moja mawasiliano no 0714121506 kalibuni sana kiwangwa yenye neema kuona bule asanteni sana