*Shamba la Ekari 10 linauzwa Chalinze mjini*(CHANG'OMBE STREET)
*Distance* Shamba liko Kilometer 1 tu kutoka Barabara ya lami ya Morogoro road
-Ndani ya shamba kuna miembe na michungwa na nyumba ya wafanyakazi
-Shamba linafaa kwa kilimo cha mahindi mihogo na kadhalika
-Document; Hati ya mauziano ya selikali za mitaa ( Shamba limepimwa Hati miliki itatoka kwa Jina la mteja atakae nunua
*Bei shilingi milioni 30 maongezi yapo*
Read more