Nauza shamba lenye ukubwa wa heka 300 shamba hili linapatikana kijiji cha wami kata ya Msata shamba linaumbali wa kilometa 8 kutoka barabara kuu ya lami Gar inafika mpaka shamba kila eka moja inauzwa lak.350,000/= kwa mawasiliano zaid piga n.0659628665/=
nauza kiwanja hicho kwenye picha ya ramani no. 406 UKUBWA; SQM 782 UMBALI TOKA LAMI YA SINGIDA = 1KM UMBALI TOKA DODOMA MJINI KATI 12KM DOCUMENT; HATI BEI 12M LOCATION NALA CHINANGALI( NALA YA KWANZA) DODOMA NJE KIDOGO YA MJI BARABARA, UMEME NA MAJI VIPO, \ MAJIRANI WAMEJENGA NA WANAISHI KINATAZAMANA NA SHULE YA HUMBLE WIN PIA KIPO JIRANI NA INAPOJENGWA HOSP...