Nauza shamba lenye ukubwa wa heka 300 shamba hili linapatikana kijiji cha wami kata ya Msata shamba linaumbali wa kilometa 8 kutoka barabara kuu ya lami Gar inafika mpaka shamba kila eka moja inauzwa lak.350,000/= kwa mawasiliano zaid piga n.0659628665/=
Nauza shamba la kulima nanasi lenye ukubwa wa heka 5 lipo umbali wa kilometa 3 kutoka barabara kuu ya lami kila eka moja inauzwa 2.M Gar inafika mpaka shamba mwasiliano zaidi Piga no...0659628665/=
Shamba la ekari 4 linauzwa mwavi fukayosi lipo umbali wa kilometa 2 kutoka main load ya bagamoyo msata zote kwa pamoja zinauzwa shiligi 20 Milioni shamba lipo barabarani kabisa unaweza kupanda mazao kama Nanasi ,Migomba, Papai ,Minazi ,Korosho ,Ndimu ,Maembe, Machungwa nk