Latest Listings of products like electronics, cars, house, land and other products for sale in Tanzania, check here to find wide selection of quality products at competitive price in Tanzania.
Nyumba ipo msata ,wilaya ya Chalinze,mita 400kutoka barabara kubwa iendayo mikoa ya kaskazini Arusha na Tanga. Maji na umeme siyo tatizo. Ukubwa wa eneo ni mita za mraba 972. Bei inapungua. Kwa mawasiliano 0621859196 au 0763951143