Latest Listings of products like electronics, cars, house, land and other products for sale in Tanzania, check here to find wide selection of quality products at competitive price in Tanzania.
Nauza shamba renye ukubwa wa ekari 200 kira ekari moja inauzwa raki mbiri na ishirin 220000 shamba hiri ripo kata ya mbwewe kijiji cha mpaji eneo nizuri sana gari njia safi muda wote unapita iwe kiangaz iwe masika