Latest Listings of products like electronics, cars, house, land and other products for sale in Tanzania, check here to find wide selection of quality products at competitive price in Tanzania.
1- Ipo katika eneo lenye utulivu. 2- lnavyumba 3, jiko, stoo, bafu na choo cha self na pubilc. 3- lna eneo la kuegesha magari zaidi ya manne 4- Ina miti ya matunda mbalimbali na migomba 5- Ina umbali wa kama mita 150 kutoka barabara ya lami. 6- Ina nyumba ya mfanyakazi na choo na bafu la nje. 7- Inapangishwa na mwenyenyumba hivyo hakuna mtu wa kati / wapambe...